Week 19

MONDAY:  First day in school. We talked about what we had been doing during the break. We had a Swedish ”fika” with cookies, coffee and tea. We also planned the following weeks.

Jumatatu : ni siku ya mwanzo ya masomo tulizungumza juu ya nini ulichokifanya baada ya wiki nzima ya mapumziko kila moja , ni ukaribisho wa pamoja tukala pamoja vitafunio,chai,kahawa na kupanga mipango mengine ya wiki zijazo. 

 
 
 

TUESDAY: Pamoja-day! We started the day with Christine’s empowering lesson. After that we worked in small groups with an exercise called ”SWOT”. STRENGTHS, WEAKNESSES, OPPORTUNITIES, THREATS. We worked with pamoja, responsibilities and plans for the festival.

Jumanne:nisiku ya pamoja tuli ingia darasani kwa christine tukajadili ,”SWOT” Ni neno linalotokana na somo la kuwawezesha kutambua juu ya maisha  ( nguvu, udhaifu,bahati,tishio) katika harakati za kutafuta maisha popote bila ya kuvunjika moyo , yakaundwa makundi tukajadili kila mtu akatoa mawazo yake, na pia yakachulia  kama ni njia ya kuwaelewesha watu watapokuja katika festival.

 

WEDNESDAY: We played a game, everyone wrote one sentence each and in the end it had become a story, it was really fun. After that we worked with Pamoja and the blog. At the evening we had dinner at Hilda's place, thank you.

Jumatano: tulicheza mchezo wa kutengeneza hadithi inayotokana na maneno kama ( ni , pia ,wakati,sabaabu,lakini na nyenginezo) mfano  : nilipoamka asubuhi nilikwenda skuli  lakini wanafunzi wenzangu walichelewa .huu ni mafano tu lakini unakua siri unaandika kisionekane ulichoandika mwenzako anaendelea kuandika hadithi anachoona. jioni tulienda chakula cha usiku kwa Hilda ulikua mualiko.

 
 

THURSDAY: we watched a TED-TALK from an inspiring woman, then we worked with the festival and presentation.

Alhamis: kuangalia TED - TALK kutoka kwa mwanamke msukumo , basi sisi kazi na tamasha na kuwasilisha 
 
 

FRIDAY: On Friday we worked with questions about “how to make a festival”. We interviewed the rest of the class.

Ijumaa: tuliuliza maswali kuhusu tamasha jinsi litakavyo fanjika tuliwauliza wanafunzi wezetu darasani  
 
 
Thank you! / Hafidha and Yusra. 
 
 

Kommentera här: